Huzuni ilitanda Karumandi, Kirinyaga baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kabla ya kujitia kitanzi

  • | NTV Video
    232 views

    Hali ya huzuni ilitanda Katika Kijiji cha Gikumbo, Karumandi, Kaunti ya Kirinyaga, kufuatia kifo cha mme na mkewe katika hali tatatinshi.

    Inadaiwa kuwa mume aliimuuwa mkewe kabla ya kujitia kitanzi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya