Huzuni ilitanda Lochacha kwenye mazishi ya watu watatu wanaodaiwa kuuawa na maafisa wa usalama

  • | Citizen TV
    404 views

    Huzuni ilitanda kijiji cha Lochacha eneo pana la Turkwel, kaunti ya Pokot Magharibi wakati wa mazishi ya watu watatu wanaodaiwa kuuawa na maafisa wa usalama wakati wa opereseheni katika eneo la Sarmach.