Huzuni yatanda huku waathiriwa 13 wa mafuriko eneo la Mai Mahiu wakizikwa

  • | KBC Video
    26 views

    Huzuni ilitanda wakati wa hafla tofauti za mazishi ya waathiriwa 13 wa mkasa wa bwawa la Mai Mahiu pamoja na wengine sita walioangamia Murang’a kufuatia maporomoko ya ardhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive