Ian Njoroge anayedaiwa kupiga afisa wa polisi afikishwa mahakamani

  • | NTV Video
    4,782 views

    Kijana wa miaka 19 Ian Njoroge ambaye anadaiwa kumpiga afisa wa polisi pigo la mbwa koko amefikishwa mahakamani hii leo na kushtakiwa kwa makosa sita likiwemo la wizi wa mabavu. Ian alikamatwa baada ya video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii iliyomwonesha akimlima afisa huyo wa trafiki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya