Ibada ya kipekee | Walemavu waongoza ibada PCEA Kariobangi

  • | Citizen TV
    258 views

    Kwa kawaida, jumapili huwa siku ya ibada ambapo waumini hujumuika kwenye makanisa mbalimbali kwa ibada ambazo huendeshwa kwa lugha mbalimbali. Mambo hata hivyo yamekuwa tofauti kwa waumini walemavu katika kanisa la PCEA Kariabangi ambako leo wamefanya ibada ya kipekee. Imekuwa ibada iliyotumika kama hamasisho kuhusu ulemavu ambapo walemavu wameongoza na kushiriki ibada kwa njia ya kipekee