Ibada ya kuwakumbuka waliofariki kutokana na mkasa wa Embakasi yafanyika

  • | Citizen TV
    240 views

    Familia na wakazi wa mtaa wa Embakasi wanajumuika kwa hafla ya maombi na kumbukumbu kwa waathiriiwa wa mkasa wa Mlipuko wa gesi katika eneo la Mradi, Embakasi Mashariki. Ni hafla ambayo pia inahudhuriwa na baadhi ya wabunge na viongozi wa kisiasa. Hadi sasa idadi ya waliofariki kutokana na mkasa huo imefikia 11.