Ibada ya mazishi ya mwendazake Joshua Cheruiyot yafanyika Nandi

  • | NTV Video
    1,261 views

    Mwendazake Joshua Cheruiyot, Mpanda mlima aliyeaga Dunia wiki mbili zilizopita akiwa safarini kuukwea Mlima Everest bila Oksijeni ya akiba, alikuwa na ndoto ya kufikia ufanisi unaojulikana kama Explorer's GrandSlam. Haya yalifichuliwa Leo kutoka kwa Wapandaji Milima wenzake Katika ibaada ya mazishi ya Mwendazake iliyofanyika katika eneo la Chepterit Kaunti ya Nandi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya