Ibada ya wafu Boniface Kariuki yaandaliwa All Saints Cathedral

  • | Citizen TV
    278 views

    Familia, jamaa na marafiki wa marehemu Boniface Kariuki, muuzaji barakoa aliyepigwa risasi na polisi na kufariki akipokea matibabu wiki mbili baadaye wanahudhuria ibada ya wafu katika kanisa la all saints cathedral. wanaharakati pia wamejumuika na familia katika hafla ya kumkumbuka kariuki anayetarajiwa kuzikwa ijumaa wiki hii nyumbani kwao eneo la kangema kaunti ya Murang'a.Kariuki mwenye umri wa miaka 23 aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya kulilia haki ya Albert Ojwang'