Ibada ya wafu kwa Padre Allois yaandaliwa leo Eldoret

  • | KBC Video
    52 views

    Miito inaongezeka kwa serikali kutangaza rasmi bonde la Kerio kuwa eneo hatari ili kuwezesha opresheni za kuwapokonya silaha na kuwafurusha wahalifu wanaowahangaisha wakazi. Wakizungumza katika kanisa la Sacred Heart of Jesus Cathedral mjini Eldoret wakati wa ibada ya wafu ya Pader Allois Cheruiyot Bett, viongozi walishinikiza uwajibikaji na haki kuhusiana na mauaji ya kasisi huyo. Padre Bett atazikwa kesho kwenye makaburi ya parokia ya Ol’Lessos mjini Eldoret. Mwanahabari wetu Ben Chumba anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive