Ibada ya wafu ya mwanahabari Michael Oyier yaandaliwa All Saint Cathedral

  • | Citizen TV
    1,145 views

    Kwaheri Michael Oyier:

    Jamaa na marafiki wakusanyika All Saints Cathedral

    Michael Oyier alikuwa mwanahabari wa zamani wa KTN

    Oyier aliaga dunia kufuatia matatizo ya kiharusi

    Oyier atazikwa Ijumaa nyumbani kwake Dala Kanyada Katuma