Ibada ya wafu ya wanafunzi watano waliofariki maji Uasin Gishu yaandaliwa

  • | Citizen TV
    974 views

    Ibada ya wafu kwa wanafunzi watano wa shule ya msingi ya arap moi eneo bunge la ainabkoi kaunti ya uasin gishu inaendelea huku wanafunzi hao wakipangiwa kuzikwa alasiri.