Skip to main content
Skip to main content

Ida Odinga ahojiwa na bunge baada ya kuteuliwa kama balozi wa UNEP

  • | Citizen TV
    18,653 views
    Duration: 43:09
    Kamati ya bunge kuhusu masuala ya kigeni inamhoji Ida Betty Odinga kuhusiana na kuteuliwa kwake na Rais William Ruto kama balozi wa kudumu wa kenya katika Shirika la umoja wa mataifa kuhusu mazingira (UNEP) yenye makao yake eneo la Gigiri jijini Nairobi. Ida ni mjane wake Hayati Raila Odinga na amekuwa akijihusisha na masuala mbalimbali ya uongozi wa wanawake.