Idadi kubwa ya vijana imeathirika na virusi vya ukimwi katika kaunti ya Bungoma.

  • | West TV
    52 views
    Idadi kubwa ya vijana katika kaunti ya Bungoma imebainika kuathirika na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi, wengi wakiwa chini ya umri wa miaka ishirini na minne huku wanarika hao wakitakiwa kujihadhari