Skip to main content
Skip to main content

Idadi kubwa ya wapiga kura yajitokeza kwa uchaguzi mdogo West Kabras

  • | Citizen TV
    2,090 views
    Duration: 5:45
    Baadhi ya vituo vimesajili idadi kubwa ya wapiga kura katika wadi ya West Kabras, ambapo uchaguzi mdogo unaendelea. Shughuli hiyo ilianza saa kumi na mbili asubuhi ambapo wagombea sita wanawania kiti cha mwakilishi wadi kilichosalia wazi baada ya mwakilishi wake kupata kiti cha ubunge cha Malava.