Idadi ndogo ya vijana wajitokeza kwa shughuli ya usajili wa NYS

  • | KBC Video
    170 views

    Idadi ndogo ya vijana ilishuhudiwa katika kaunti mbalimbali humu nchini wakati wa shughuli inayoendelea ya kusajili vijana katika shirika la vijana wa huduma kwa taifa-NYS. Hali hii imehusishwa na kutoafiki viwango hitajika vya masomo. Katika kaunti ya Kilifi vijana 25 walihitimu. Waziri wa utalii Dkt Alfred Mutua aliyeongoza shughuli hiyo katika kaunti hiyo ya Kilifi aliwahimiza wanawake kuchukua fursa hiyo baada ya wanaume wengi kujitokeza kwenye shughuli ya usajili katika kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive