Idadi ndogo ya wanafunzi wa shule za msingi warejea shuleni

  • | K24 Video
    11 views

    Idadi ndogo ya wanafunzi wa shule za msingi leo walirejea shuleni baada ya kusitishwa kwa mgomo wa walimu wa muungano wa KNUT. Wafanyibiashara wanaouza sare na vifaa vingine vya shule waliripoti kupungua kwa idadi ya wateja wakilaumu hali hii kwa kutangazwa kwa mgomo. Waziri wa elimu Julius Ogamba alizuru shule ya msingi ya Lenana hii leo na kuwaonya walimu wakuu dhidi ya kuwatoza wanafunzi ada ambazo hazijaidhinishwa