Idadi ndogo ya wanafunzi yarejea shuleni Migori kutokana na mafuriko

  • | Citizen TV
    108 views

    Ni Idadi ndogo tu ya wanafunzi iliyofika shuleni katika Maeneo ya Nyora, Kabuto na Angugo kaunti ya Migori huku madhila ya mafuriko yakiendelea kushuhudiwa katika maeneo hayo.