- 2,072 viewsDuration: 3:12Idadi ndogo ya wapiga kura ilijitokeza kushiriki uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Isiolo south, huku ndugu wawili wakitoana kijasho katika kiti kilichowachwa wazi baada ya kifo cha baba yao Mohammed Tubi. Na kama anavyoarifu emmanuel too kutoka isiolo, upande wa mgombea wa chama cha jubilee Bina Tubi ulidai kuibiwa kura na upande wa UDA wa nduguye Tubi Mohamed Tubi katika kinyang’anyiro hicho