Idadi ya vifo yafikia watu 61 kutokana na mvua ya El-Nino nchini

  • | Citizen TV
    1,021 views

    Idadi ya vifo vinavyotokana na mvua ya El-Nino sasa vimefikia watu 61 huku wanane wakiwa hawajulikani waliko. Idadi hii imeendelea kuongezeka huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini. Serikali sasa inawataka watu wanaoishi kwenye maeneo hatari kuhamia maeneo salama ili kuzuia maafa na athari za mvua hii