Idadi ya waathiriwa wa mafuriko nchini yafikia elfu 93

  • | K24 Video
    71 views

    Idadi ya waathiriwa wa mafuriko nchini imefikia elfu 93 baada ya wakenya zaidi ya elfu tatu kuachwa bila makao kufikia leo. Japo hakuna vifo zaidi vilivyoripotiwa saa 24 zilizopita, serikali imetangaza mlipuko wa malaria na kipindupindu katika maeneo ya kaskazini mwa nchi kufuatia mafuriko.