Idadi ya wafu katika msitu wa Shakahola huko Kilifi yafikia watu 336

  • | Citizen TV
    481 views

    Maiti 10 zaidi zimefukuliwa hii leo katika msitu wa shakahola na kuongea idadi ya wafu wa imani potovu kuwa 336