29 Oct 2025 1:44 pm | Citizen TV 164 views Duration: 1:21 Idadi ya wagonjwa wanaofika kutibiwa katika hospitali za Umma mjini kitui imeongezeka maradufu baada ya hospitali nyingi za kibinafsi kukosa kutibu wagonjwa wakitumia bima ya SHA.