Idadi ya wakimbizi yaendelea kuongezeka katika kambi ya wakimbizi ya Dadaab

  • | Citizen TV
    296 views

    Kuongezeka kwa idadi ya wakimbizi kutoka Somalia katika Kambi ya Dadaab nchini Kenya kumesababisha mashirika ya kuwahudumia wakimbizi kutatizika katika kutoa huduma za dharura kama vile chakula na mahitaji mengine. Sasa mashirika hayo yameazimia kuanzisha miradi tofauti kama kilimo na biashara ili angalau wakimbizi na wenyeji waweze kujinufaisha sasa na siku za usoni.