Idadi ya waliofariki katika Ziwa Viktoria yafikia 19

  • | KBC Video
    50 views

    Idadi ya watu waliofariki kufuatia mkasa wa ndege ya kampuni ya Precision Air iliyoanguka katika Ziwa Viktoria imefikia 19. Ndege hiyo iliyokuwa imewabeba watu 43 ilianguka ilipokuwa ikijaribu kutua kwenye uwanja wa Bukoba wakati mvua kubwa ilipokuwa ikinyesha, hali inayokisiwa kusababisha ajali hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #planecrash #tanzania

    crash