Idadi ya waliofariki kufuatia maandamano yafikia 6

  • | Citizen TV
    4,566 views

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na majeraha ya risasi kufuatia maandamano ya upinzani ya siku ya Ijumaa imefikia watu sita. Hii ni baada ya watu watatu kuthibitishwa kufariki katika kaunti ya Kisii, ambako raia wengine na hata maafia wa polisi wanaendelea kutibiwa. Chrispine Otieno anatuarifu zaidi kuhusu maafa haya, huku miongoni mwa waliofariki akiwa ni mwanafunzi wa miaka 23