Skip to main content
Skip to main content

Idadi ya waliofariki kupitia hasara ya mvua nchini imefikia watu 69

  • | Citizen TV
    3,204 views
    Duration: 3:07
    Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyoshuhudiwa nchini imeongezeka kufikia watu 69. Idara ya polisi sasa ikiripoti kuwa zaidi ya watu 2,000 wamehamishwa na mafuriko. Haya yanajiri huku sehemu 37 Jijini Nairobi zikiratibiwa kuwa maeneo yaliyo karibu na mito kama maeneo yenye hatari ya kufurika.