Idadi ya waliofariki kutokana na unywaji pombe haramu kaunti ya Kirinyaga yaongezeka hadi watu-10

  • | KBC Video
    35 views

    Idadi ya waliofariki baada ya kubugia pombe haramu katika kaunti ya Kirinyaga imefikia watu 10 baada ya watu wengine wanne kufariki katika hospitali ya matibabu maalum ya Kerugoya. Waathiriwa wengine kadhaa wanaendelea kupokea matibabu huku kundi la madkatari likijitahidi kunusuru waathiriwa ambao wamo kwenye hatari ya kufariki au kupoteza uwezo wa kuona. Sasa imebainika kuwa mmiliki wa baa ambako watu hao walibugia pombe ni muuzaji sugu wa pombe haramu na amekamatwa akisubiri kufikishwa mahakamani mara ya kumi na tano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive