Idadi ya waliofariki sasa imefika watu sita

  • | Citizen TV
    2,189 views

    Idadi ya waliofariki kwenye ajali iliyohusisha basi na treni huko Naivasha hapo jana sasa imefikia watu tisa. hii ni baada ya mtu mmoja zaidi kufariki akipokea matibabu. Wanne kati ya waliofariki ni wafanyikazi wa kenya Pipeline huku watano wakiwa wafanyikazi w akampuni moja ya usafi. Manusura kumi na wawili wa ajali hiyo wanaendelea kupata nafuu hospitalini.