Idadi ya waliokufa ziwani Kokwa yafika watu saba

  • | Citizen TV
    1,712 views

    Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali ya boti jumapili kisiwani Kokwa kaunti ya Baringo imefikia watu saba baada ya miili ya watu sita kuopolewa majini leo asubuhi.