Idadi ya wanaocha kusoma yaongezeka nchini

  • | K24 Video
    67 views

    Asilimia ya wanafunzi wa umri wa kati ya miaka 6 na miaka 15 walioacha shule imeongezeka kutoka 7.5 mwaka wa 2021 hadi asilimia 8.5 mwaka jana. Hii ni kulingana na ripoti iliyowasilishwa na shirika la usawa agenda. Vile vile ripoti hiyo imefichua kuwa wanafunzi 3 kati ya 10 walioko katika gredi ya sita hawawezi kusoma lugha ya kiingereza inayofunzwa katika gredi ya tatu. Wavulana wengi ndio walioacha shule kuliko wasichana huku asilimia 23 pekee za shule za umma zikiwa na maktaba.