Idadi ya wanawake wanaoavya mimba yaongezeka Migori

  • | Citizen TV
    106 views

    Wakereketwa wanaotetea maslahi ya mtoto msichana wanashinikiza Elimu na uhamasisho wa dhidi ya uavyaji mimba huku kukiwa na ongezeko la visa vya utoaji mimba usio salama katika kaunti ya Migori.