Skip to main content
Skip to main content

Idadi ya wasichana wanaoenda shule kaunti ya kajiado imeongezeka

  • | Citizen TV
    247 views
    Duration: 4:10
    Idadi ya wasichana wanaoenda shuleni kaunti ya kajiado imeanza kuongezeka kutokana na jitihada za kukomesha ukeketaji. Kampeni za uhamasishaji, hususan katika eneo la impirishi, kajiado magharibi, zimeanza kuzaa matunda