Skip to main content
Skip to main content

Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko imefikia watu 49

  • | Citizen TV
    1,759 views
    Duration: 3:16
    Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko ya ijumaa iliyopita sasa imefikia watu 49 kote nchini. Ripoti hii ya maafisa wa usalama inajiri huku zaidi ya familia 2,600 zikisalia bila makao kufuatia mafuriko ambayo pia yaliathiri vituo 16 vya polisi.