Idadi ya watu waliofariki Nairobi yafikia saba kufuatia mafuriko yaliyoshuhudiwa

  • | Citizen TV
    10,540 views

    Idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko yaliyoshuhudiwa jijini Nairobi Jumapili usiku imefikia watu saba baada ya miili tatu zaidi kupatikana. Haya yanajiri huku shughuli ya kutafuta mwili wa afisa wa polisi aliyefariki eneo la kamukunji ikiendelea.