10 Mar 2026 1:34 pm | Citizen TV 8,181 views Duration: 2:29 Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali iliyohusisha trela iliyowagonga watu waliokuwa wakiwasaidia majeruhi wa ajali ya awali iliyohusisha pikipiki katika eneo la Malaha kule webuye imefikia 15.