Idadi ya watu wasiojulikana wanahofiwa kufariki Murang’a kufuatia maporomoko ya ardhi

  • | Citizen TV
    13,612 views

    Idadi ya watu wasiojulikana wanahofiwa kufariki katika kijiji cha Kiganjo eneo la Gitugi lililoko katika eneobunge la Mathioya. Hii ni baada ya maporomoko ya ardhi yaliyoshuhudiwa katika eneo hilo. tayari watu wawili wameokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu. Mwanahabari wetu victor kinuthia anaungana nasi mubashara kwa yanayojiri