19 Mar 2026 1:34 pm | Citizen TV 119 views Duration: 2:01 Idara ya Afya katika Kaunti ya Migori, kwa ushirikiano na wakfu wa Fred Hollows , imezindua kampeni ya kuhamasisha umma kuhusu utunzaji wa msingi wa macho ili kupunguza magonjwa ya macho