Idara ya DCI yatakiwa kuchunguza baadhi ya mashirika yasiyo ya kiserikali

  • | KBC Video
    34 views

    Mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kuthibitisha kuwa jumla ya shilingi bilioni 197 walizopokea kutoka kwa wafadhili mwaka wa 2023/2024 na shilingi bilioni 175 mwaka wa 2022/2023, zilitumika katika miradi iliyokusudiwa na wala sio vinginevyo. Halmashauri ya udhibiti wa mashirika ya faida ya umma imesema baadhi ya mashirika kwa sasa yanachunguzwa kwa madai ya kukiuka kanuni. Haya yanajiri baada ya wizara ya mashauri ya kigeni kuyataka mashirika 16 kuelezea matumizi ya mamilioni ya pesa walizopokea kutoka wakfu wa Ford ambao Rais alihusisha na ufadhili wa maandamano ya kizazi cha Gen Z.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive