9 Oct 2025 1:30 pm | Citizen TV 177 views Duration: 1:23 Idara ya Kilimo katika Kaunti ya Nandi imeanzisha rasmi kampeni kubwa ya chanjo ya mifugo kwa lengo la kulinda wanyama dhidi ya ugonjwa hatari wa kinywa na miguu.