Idara ya kilimo katika kaunti ya Siaya yaanda kongamano la wawekezaji

  • | Citizen TV
    312 views

    Idara ya kilimo katika kaunti ya Siaya inaanda kongamano la wawekezaji ikiwalenga wafugaji kwa minajili ya kuboresha ufagaji wa ng’ombe na mbuzi .