Idara ya kilimo yaanza mafunzo kwa wakulima kaunti ya Siaya

  • | Citizen TV
    93 views

    Idara ya kilimo katika kaunti ya Siaya imeanzisha mikakati ya kuhakikisha wakulima wote wanapata huduma za maafisa wa kilimo wa nyanjani kwa kuwafadhili wenyeji wa 20 kutoka wadi za kaunti hiyo masomo ya kilimo kwa nia ya kuzidisha ukaribu wa wakulima na huduma hizo muhimu.