Idara ya jinsia inaonya dhidi ya suluhu za kinyumbani

  • | Citizen TV
    102 views

    Afisa wa idara ya jinsia Pauline Korir anasema kuwa eneo hilo kuna visa vingi ambavyo hutatuliwa nje ya mahakama wakati ambapo familia za waathiriwa zinaposuluhisha kesi hizo kinyumbani.