Idara ya magereza yasambaza vitanda vya ghorofa tatu

  • | Citizen TV
    450 views

    Gereza la Nairobi West limepata vitanda 93 vya ghorofa tatu kwa wafungwa wote. Gereza hilo sasa limepata hadhi ya gereza la Mombasa katika kuhakikisha kuwa wafungwa hawalazimiki tena kulala sakafuni kwenye mazingira baridi yenye msongamano.