Idara ya mahakama yabuni kamati yake ya maandalizi ya uchaguzi

  • | KBC Video
    1,082 views

    Jaji mkuu Martha Koome ameonya kwamba matamshi ya chuki na magenge yanayozua rabsha yanapaswa kutokomezwa, akiyataja kuwa vichochezi vya vurugu katika uchaguzi mkuu wa mwaka-2027. Koome ambaye alitoa hakikisho la kujitolea kwa idara ya mahakama kuhakikisha mfumo wa wa haki uchaguzi pia alitaja teknolojia ibuka kuwa changamoto inayohitaji kutatuliwa kwa dharura. Mwanahabari wetu Kamuche Menza anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive