Idara ya mahakama yataka pesa zaidi za kuimarisha usalama

  • | Citizen TV
    373 views

    Tume ya huduma kwa idara ya mahakama JSC ingali inasema kuwa inahitaji kuongezewa mgao wa bajeti ili kuimarisha usalama wa kortini pamoja na wa maafisa wa idara hiyo. JSC inalalama kuwa tangu mauaji ya hakimu mkuu Monica Kivuti katika mahakama ya makadara mwaka jana, bado kuna baadhi ya maafisa wa kortini wanaofanyia kazi kwenye mahakama ya mahema.