Idara ya misitu imezindua mfumo wa kuboresha mikoko

  • | Citizen TV
    367 views

    Idara ya huduma za misitu nchini (KFS) imezindua taratibu za kitaifa za uboreshaji wa misitu ya mikoko kupitia mfumo wa mtandao katika kaunti ya Kwale.