Idara ya polisi kuwapa ulinzi waandamanaji wakati wa maandamano ya alhamisi

  • | K24 Video
    74 views

    Idara ya polisi imesisitiza msimamo wake wa kutoa ulinzi kwa waandamanaji na mali zao wakati wa maandamano ya kupinga serikali yanayotarajiwa kufanyika alhamisi wiki hii. Inspekta mkuu wa polisi Gilbert Masengeli ametetea kuwepo wa maafisa wa polisi wanaovaa kiraia wakati wa maandamano.