Idara ya polisi yasisitiza haikushirikiana na wahalifu jijini

  • | Citizen TV
    1,462 views

    Idara ya polisi imeendelea kujitenga na magenge ya uhalifu yaliyoshuhudiwa jijini Nairobi hapo jana, wakati wa maandamano ya kudai haki kwa mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang. Kamanda wa polisi Nairobi George Seda kwenye kikao na wanahabari amesema kati polisi hawakushirikiana na wahuni.