Idara ya uhamiaji na huduma kwa jamii imedokeza kupungua kwa usajili wa vifo na watoto wanaozaliwa

  • | KBC Video
    13 views

    Idara ya uhamiaji na huduma kwa jamii imedokeza kuhusu kupungua kwa usajili wa vifo na watoto wanaozaliwa katika muda wa miaka miwili iliyopita. Katika takwimu zake za mwaka-2022, kiwango cha usajili wa vifo na watoto wanaozaliwa kilipungua kutoka asilimia-83 hadi asilimia-52 na kisha asilimia-47. Idara hiyo imesema kupungua huko kumetokana na ukosefu wa rekodi za vifo na watoto waliozaliwa wakati wa hali ya ukame iliyokumba nchi hii kwa miaka miwili iliyopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News