Idara ya upelelezi DCI kuichunguza mamlaka ya IPOA

  • | Citizen TV
    15,562 views

    Idara ya upelelezi imeanzisha uchunguzi rasmi kuhusiana na madai ya simu ya OCS Samson Talaam, mshukiwa wa mauji ya mwalimu Albert Ojwang, kutumiwa kuitisha watu pesa ikiwa mikononi mwa maafisa wa mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa polisiI (POA).